• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO MANISPAA YAJIVUNIA WAJASIRIAMALI WABUNIFU NANRNANE

Posted on: August 2nd, 2023

Wakati maonesho ya Nanenane kanda ya Mashariki yakiendelea katika viwanja vya J.K Nyerere mjini Morogoro, Manispaa ya Ubungo inajivunia kuwa na wa wajasiliamali wanaosindika na kuyaongezea thamani mazao mbalimbali ya kilimo ikiwemo mlonge ambao unatumika kama lishe, kinga na tiba katika mwili wa binadamu.


Utaalamu huu wa usindikaji kwa kuliongezea thamani zao hilo mhimu unafanywa na kikundi cha wanawake cha MAKAI MORINGA ambapo kimefanikiwa kupata soko la ndani na nje ya nchi.


Akizunvumza kwenye banda  la Manispaa ya ubungo Bi Hatupelile sanga Mwenyekiti wa kikundi hicho amesema kuwa kikundi kiliona fursa ya kusindindika bidhaa za Mlonge kutokana na faida zake kwa afya ya binadamu na uwepo wa soko la uhakika.


Bi sanga anasema  kikundi hicho kilichoanza tangu mwaka 2004 kinauza bidhaa za mlonge ikiwemo unga wa majani ya mlonge, mafuta, sabuni,  majani ya chai ya mlonge , mafuta na vidonge kwa nchi za Afrika Kusini, Marekani, Kenya, msumbiji na China ambapo kilo moja ya unga wa mlonge ni shilingi elfu hamsini (50,000)  na elfu thelathini kws soko la ndani.


Utoaji wa elimu kwa watanzania unaendelea kupitia maonesho mbalimbali tunayoshiriki ikiwemo Nanenane, sabasaba, kwa kushirikiana na madaktari na wataalamunwa lishe ili watu wengi wafahamu bidhaa hizi zenye faida lukuki za kiafya ikiwemo chanzo cha madini na vitamini nyingi ukilinganisha na vyakula vingine.


Bi sanga anawashauri wa kulima kuanzidha mashamba ya Miti ya Milonge kwani malighafi hiyo inahitajika sana katika kusindika bidhaa mbalimbali ambazo zina faida kiafya " tukumbuke Mlonge ni LISHE, KINGA NA TIBA kama kauli mbiu ya maonesho ya nanenane 2023 inavyosistiza kuwa *Vijana na wanawake ni msingi imara wa mifumo endelevu ya  chakula*

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa