• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAFANYA ZIARA MWANZA JIJI

Posted on: September 9th, 2024

Waheshimiwa Madiwani, viongozi wa chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya na watalaam wa Manispaa ya Ubungo september 9, 2024 wamefanya ziara ya mafunzo katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza, kwa ajili ya kujifunza namna Jiji hilo lilivyofanikiwa kuanzisha uhusiano na miji dada katika nchi mbalimbali duniani kwa lengo la kutangaza fursa zinazopatikana jijini humo katika majukwaa ya kimataifa.

Akiwasilisha taarifa ya uanzishwaji wa miji dada (Sisterhood Cities) katika ya jiji hilo  Mratibu wa uhusiano huo bwana Brown Billy amesema katika uanzishawaji wa mahusiano na miji dada hiyo unategemea hasa namna Halmashauri ilivyoandaa wasifu wake (Council Profile) ukionesha fursa zilizopo  ili kuvutia Miji husika kuanzisha uhusiano wa kimaendeleo na Halmashairi husika kwani nafasi hizo zinagombaniwa na Halmashauri mbalimbali barani  Afrika

 Brown amesema kuwa, Halmashauri ya Jiji la Mwanza lilianza kuwa na ushirikiano na miji dada tangu mwaka 1960 ambapo mpaka sasa wanaurafiki na miji 5 katika nch 5 ikiwemo Marekani, Korea  na Finland, Ujerumani na Norway ambapo wamefanikiwa kutekeleza miradi mbalimbali katika sekta ya mazingira, Afya, Elimu na biashara

Aidha, kupitia uhusiano na miji hiyo Halmashauri ya Jiji la Mwanza limefanikiwa kushiriki mihadhara ya kimataifa kuelezea fursa zinazopatikana kwenye jiji hilo lakini pia imewapa fursa ya kupata mialiko nchi mbalimbali  kutoa elimu namna walivyoweza kuanzisha uhusiano na mijidada ambayo imeleta manufaa makubwa kwao ikiwemo kujulikana kimataifa

Kwa upande wao Madiwani wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo Mhe. Jaffary Nyaigesha wameipongeza Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa mafanikio makubwa na kuwaelekeza wataalamu wao kuanza mchakato mara moja wa kutafuta miji dada pamoja na kuandaa wasifu wa Halmashauri unaoonesha fursa zilizopo katika Manispaa hiyo ili kuboresha utoaji wa huduma na ukusanyaji wa mapato.

Manispaa ya Ubungo iko kwenye mchakato wa kuanzisha uhusiano na miji ya Shandong na Wendeng za nchini  china katika sekkta za afya, elimu, viwanda na biashara, hivyo ziara hiyo itawawezesha wajumbe kupata uzoefu wa namna ya kusimamia kuanziasha na miji mingi zaidi kama Jiji la Mwanza ambalo lina uhusiano

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa