• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAKO IPO SIM2000, KARIBU UHUDUMIWE

Posted on: June 3rd, 2021

Afisa biashara Manispaa ya Ubungo Prisca Mjema  amewasihi  wananchi wa Manispaa hiyo kujitokeza kwa wingi katika kituo cha mawasiliano  Sim2000 kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali ikiwemo utoaji wa elimu ya mlipa kodi na huduma za afya  ikiwa ni mwendelezo wa wiki ya huduma kwa mwananchi .

Prisca ameeleza kuwa, Manispaa ya Ubungo imeamua kumfikia wananchi alipo kwa kusogeza huduma  karibu na yake ikiwa mkakati wa kuboresha utoaji huduma kwa wananchi wake.

"Hili zoezi ni endelevu tulianza kituo cha mbezi na sasa tupo hapa kwenye kituo cha daladala cha sim2000 kwa lengo moja tu la kuhakikisha wananchi anapata huduma kwa urahisi kupitia kaulimbiu yetu ya Ubungo yako inakufikia ulipo, nawakaribisha wote tuwahudumie" anaeleza Mjema.


Mjema alisema kuwa  huduma zinazotolewa ni pamoja na  ulipiaji wa leseni za Biashara, leseni za vileo, vibali vya ujenzi, vibali vya burudani, ushuru wa huduma , uchangiaji wa damu na ulipiaji wa  tozo mbalimbali za Halmashauri. Mjema anasema kuwa  'Wananchi anayefika hapa mfano kukata leseni anapata ndani ya  muda mfupi bila kuzunguka kwani huduma zote zinapatikana hapahapa"

Pia katika kituo hiki wananchi wanapata fursa ya kuchangia damu  ikiwa ni moja ya mkakati wa kuhakikisha  vituo vyetu vinakuwa na damu ya kutosha kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma huduma za afya

 Aisha Mwamfupe ni mmoja wa wananchi walifika kupata huduma katika kituo cha sim2000, ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa ubunifu huo wa kuamua kuwafikia  wananchi  waliopo Kwa lengo la kuboresha utoaji huduma Kwa haraka zaidi.

" Kupata leseni Kwa Kwa dakika kadhaa sio jambo dogo , naipongeza Sana Manispaa ya Ubungo kwa mkakati wao  huu inatija Sana kwa Sisi wananchi hakika Ubungo yangu huduma karibu yangu' anaeleza Aisha mkazi wa kata ya  sinza

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa