• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YASAINI MKATABA WA MILIONI 646

Posted on: December 27th, 2023

Manispaa ya Ubungo tarehe 27/12/2023 imesaini mkataba wenye thamani ya Shilingi Milioni 646 kwa ajili ya ujenzi wa uboreshaji wa miundombinu ya Kituo cha afya cha Kimara inayojengwa na Kanisa la Yesu Kristo la watakatifu wa siku za mwisho Dar es salaam.

Usainishaji huo umetokana na msaada uliotolewa na Kanisa hilo wa uboreshaji wa Kituo cha Afya Kimara ambapo maboresho mbalimbali yatafanyika ikiwemo ujenzi wa ghorofa ya pili, kufunika ngazi na kuweka mifumo ya umeme na maji taka na Zahanati ya Makuburi maboresho mbalimbali yatafanyika ikiwemo njia ya kupitia wagonjwa, kichomea taka na vifaa vyake, tanki la maji na mnara wake, mashimo ya maji taka na shimo la kuhifadhia taka.

Akiongea Rais wa Kanisa hilo Juventus Rubonaameipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa huduma mbalimbali muhimu kwa wananchi na hivyo kanisa hilo kuamua kuunga mkono juhudi hizo na kuamua kutoa misaada mbalimbali kwa jamii.

Rubona ameendelea kueleza kuwa Kanisa hilo limepanga kutoa misaada mbalimbali kwa Manispaa hiyo na kwa mwaka wa fedha ujao limepenga kuboresha masuala mbalimbali ya sekta ya elimu katika Shule za Msingi ndani ya Manispaa hiyo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Elias Ntiruhungwa amelishukuru kanisa hilo kwa msaada huo kwa awamu ya pili ambapo hapo awali liliboresha miundombinu ya ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi Kibamba na ujenzi wa ghorofa ya kwanza katika Kituo cha afya cha Kimara.

Ntiruhungwa ameeleza kuwa misaada hiyo ina tija kubwa kwa Manispaa na wananchi kwa ujumla kwani hadi sasa kuna wanafunzi zaidi ya elfu 6 wanaotarajiwa kuanza kidato cha kwanza kwa mwaka 2024 huku Manispaa hiyo ikiwa na upungufu wa madawati zaidi ya elfu 11 hivyo ametoa wito kwa wadau wengine kuendelea kutoa misaada mbalimbali kwa lengo la kuwezesha wananchi kuendelea kupata huduma bora za kijamii.

Nae Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Mhe. Japhary Nyaigesha akilishukuru Kanisa hilo amesema Manispaa inaona fahari namna ambavyo wadau mbalimbali wanavyoguswa katika kuisadia Serikali juu ya uboreshwaji wa miundombinu mbalimbali ambayo kwa kiasi kikubwa inasaidia kugatua huduma kwa wananchi

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa