• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WAJUMBE KAMATI YA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA UBUNGO WAPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI

Posted on: September 29th, 2024

Tarehe 29/9/2024 wajumbe wa kamati ya Halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Ubungo wamepokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani kwa  kipindi cha miezi sita kuanzia  Januari mpaka Juni 2024 ambapo  jumla ya shilingi zaidi ya  bilioni 100.4 zimetumika katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Sekta ya Afya, Elimu, Miundombinu ya  barabara na Maji

Akiwasilisha taarifa hiyo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hassan Bomboko amesema kuwa Serikali imetekeleza miradi isiyopungua kiasi cha shilingi bilioni 100.4 ambazo zimetumika kuboresha na kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo na katika sekta  ya afya bilioni 11 imetumika katika ujenzi wa zahanati, vituo vya afya, hospitali na ununuzi wa vifaa tiba

Aliendelea kueleza katika Sekta ya elimu ya Msingi na Sekondari  zaidi ya  bilioni 29 zimetumika kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na ununuzi wa madawati ,viti na meza.

Na katika miundombinu ya barabara bilioni 11 imetumika na katika sekta ya maji bilioni 10  fedha hizo zote zimetolewa na Serikali na zimesimamiwa vizuri na  utekeleza umefanyika.

Aidha, aliendelea kwa kusema kuwa Kupitia mapato ya ndani kiasi cha shilingi Bilioni 1.8 zilitengwa kwa ajili ya ukarabati wa barabara za  mitaa  ambapo kila mtaa utapata kiasi cha shilingi  milioni 20 na Wilaya ya ubungo ina jumla ya mitaa 90

Akipokea taarifa hiyo Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilaya ya ubungo Mhe. Rogat Mbowe ameipongeza Ubungo kwa kutekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo ambapo miradi mingi inaonekana na wananchi wanaendelea kuitumia ikiwemo miradi ya afya

Mwenyekiti Mbowe aliendelea kuwataka viongozi wa ubungo kuendelea  kusimamia vyema utekeleza  wa ilani kwa vitendo.

Na pia Mhe. Mbowe amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi katika  uchaguzi wa viongozi wa serikali za mtaa utakaofanyika mwezi  Novemba  ili kuchagua viongozi walio bora ambao watasaidia kuleta maendeleo

Na pia wajumbe wamepongeza utekelezaji wa ilani na kuwasirisha mapendekezo mbalimbali ambayo yalipokelewa kwaajili ya utekelezaji

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa