• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WAKAZI WA KATA YA MANZESE WAFIKIWA NA ZOEZI LA AFYA CHECK

Posted on: September 11th, 2024

Mapema  tarehe 11/9/2024 zoezi la upimaji wa afya bure limewafikia wananchi wa Kata ya Manzese ambapo huduma ya upimaji wa magonjwa mbalimbali imetolewa  na zoezi hilo ni  kwa muda wa siku mbili mpaka kesho tarehe 12/9/2024 na linafanyika katika Zahanati ya Manzese

Akizungumza katika zoezi hilo, Diwani wa kata hiyo Mheshimiwa Eliam Manumbu amewakaribisha wananchi wote wa kata hiyo kupata huduma za upimaji wa magonjwa mbalimbali bure ikiwemo magonjwa ya sukari, saratani ya tezi dume, magonjwa ya moyo, saratani ya shingo ya kizazi (wanawake), kupima macho na kupewa miwani bila malipo na kueleza kuwa kupima afya ni kipaumbele kikubwa kwani afya njema husaidia katika utendaji kazi mzuri

Aliendelea kueleza kuwa kwa kata ya manzese zoezi hili limekuwa likifanyika mara kwa mara na nia kubwa ni kusaidia wananchi hasa katika magonjwa yasiyo ya kuambukiza ambayo yamekuwa yakitesa jamii sana hivyo lengo ni kuwasogezea huduma hii kwa wepesi na wapate vipimo bure

Aziza hussein Katibu wa umoja wa wanawake Wilaya ya Ubungo amempongeza Mheshimiwa diwani wa kata hiyo kwa kuwa na utamaduni wa kufanya zoezi hilo mara saba mfululizo kwa kuwasaidia wananchi wa kata hiyo kupata matibu kwani afya nzuri ni mtaji mkubwa

Aliendelea kwa kutoa Pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kusimamia na kuboresha  Idara ya afya na pia kuendelea kutoa ajira kwa wataalam wa afya lengo likiwa ni kuwasaidia watanzania kupata matibabu na pia amewasisitiza watanzania kuwa na tabia ya kupima afya mara kwa mara

Nae mwananchi wa kata hiyo bi. Mwanaisha Nurdini amesema kuwa wanajivunia huduma hiyo ambayo Mhe.diwani wa kata hiyo amewaletea na kumshukuru kwa kuwezesha zoezi hilo kwani limeenda kusaidia watu wote wenye kipato cha chini kupata matibabu bure

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa