• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WANANCHI MSIGANI WAANZA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA KILIMO MJINI.

Posted on: August 29th, 2025

Wakulima katika kata ya Msigani, Manispaa ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, wameanza kunufaika moja kwa moja na mafunzo ya kilimo mjini, yaliyotolewa na wataalamu wa kilimo kutoka halmashauri ya Manispaa ya Ubungo. 

Mafunzo hayo yaliyotolewa  August 29, 2025 yamehusisha mitaa yote mitano ya kata hiyo ambayo sasa wameanza kujifunza na kutekeleza kilimo cha mbogamboga majumbani, jambo ambalo wanaliona kama suluhisho la uhakika wa chakula na usalama wa kiafya kwa familia zao.

Wakizungumza katika mafunzo hayo, wakulima hao wamesema njia hii mpya si tu inawasaidia kupata mboga kwa urahisi, bali pia inawawezesha kutumia vifaa rahisi kama mifuko na makopo, hali inayosaidia kudhibiti upotevu wa maji na mbolea.

Katika hatua nyingine wakulima hao wameomba mafunzo hayo yawe endelevu ili kusaidia jamii kubwa zaidi kunufaika, wakisisitiza kuwa mafanikio ya kilimo mjini yatategemea mwendelezo na usimamizi wa karibu kutoka kwa wataalamu wa kilimo.


Afisa Kilimo wa kata ya Msigani, Bi Sauda Msangi, alieleza kuwa mafunzo hayo yameandaliwa kwa mara ya kwanza katika eneo hilo, tofauti na hapo awali ambapo wakulima walikuwa wanakutana na elimu hiyo mara moja tu kwa mwaka, wakati wa maonesho ya Nanenane.

Alifafanua kuwa aina hii ya kilimo inalenga kutumia maeneo madogo kuzalisha mbogamboga kwa tija, kwani maeneo ya mijini hayana nafasi ya mashamba makubwa. 

Kwa upande wake, Afisa Kilimo Mfawidhi wa Manispaa ya Ubungo, Bi. Editha Chilongani alisema anaamini wakulima waliopatiwa mafunzo wataweza kutekeleza kilimo hicho kwa vitendo kuanzia hatua ya kwanza hadi ya mwisho.

Alibainisha kuwa fedha zote na mahitaji mengine yametolewa na Mkurugenzi ili kuwezesha utekelezaji wa shamba darasa hili kwa vitendo.

Katika mafunzo hayo, wakulima walifundishwa namna ya kukata na kukunja mifuko, kuchanganya udongo na mbolea asilia pamoja na kujaza kwenye mifuko kwa usahihi, kabla ya kupanda mbegu.





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MIKOPO YA HALMASHAURI YACHOCHEA MAFANIKIO YA WAJASIRIAMALI

    September 30, 2025
  • UBUNGO YAAHIDI KUJIPANGA IMARA ZAIDI KWA MSIMU UJAO WA SHIMISEMITA | YAPOTEZA MBELE YA DODOMA JIJI

    August 29, 2025
  • WANANCHI MSIGANI WAANZA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA KILIMO MJINI.

    August 29, 2025
  • MAAFISA UBUNGO WATOA CHANJO KWA NG"OMBE YA HOMA YA MAPAFU

    August 22, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa