• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WATUMISHI WAPYA UBUNGO WAPEWA MAFUNZO KUHUSU UTUMISHI WA UMMA NA KUTAKIWA KUZINGATIA WARAKA WA UTUMISHI WA UMMA WA MWAKA 2020

Posted on: January 20th, 2025

Watumishi wapya walioajiriwa katika halmashauri ya Manispaa ya Umma katika kada tofauti tofauti wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia kanuni, Sheria, taratibu na miongozo inayoongoza utumishi wa Umma kwa uadilifu na pia kwa kutumia ubunifu unaoendana na mabadiliko ya matumizi ya TEHAMA ili kufikia malengo ya Taasisi na Serikali kwa ujumla.

Kauli hiyo imetolewa na Afisa Utumishi mkuu Bi. Upendo Haule alipokuwa akifungua mafunzo kwa watumishi hao, yaliyofanyika  tarehe 20 Januari 2025 katika ukumbi wa ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.

Bi. Haule amesema Serikali imeweka kanuni na miongozo ili watumishi waweze kuhudumia wananchi kwa utaratibu, uaminifu, usawa, haki na uwazi, hivyo, “mkiwa watumishi wa umma mna jukumu la kuzingatia kanuni hizo katika utendaji wenu wa kila siku.”


Aidha, Bi. Haule alibainisha kuwa, kutokana na unyeti wa taarifa zinazoshughulikiwa kila siku, suala la usalama wa taarifa ni jambo la msingi ambalo halina mbadala wala mzaha kulizingatia kwa uadilifu na umakini wa hali ya juu.

“Ukiwa mtumishi wa Umma, Jiepushe na masuala ya siasa lakini pia zingatieni matumizi sahihi ya taarifa kwani ni wajibu wako kutunza taarifa za mteja wako ili usilete taharuki kwa jamii unayoihudumia”- Bi. Haule

Amesema wakiishi maisha yao itawasaidia kuepuka mikopo isiyoeleweka pia waishi Kwa kuzingatia upendo na kuepuka chuki kazini ili kazi ziweze kufanyika Kwa weledi.

"Niwaombe tuishi Kwa kupendana na kuacha kuchukiana bila sababu, tuishi Kwa upendo ili kazi iweze kufanyika vizuri" amesema Upendo.

Sambamba na hayo watumishi hao wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii vizuri ili kuepuka kuweka mtandaoni vitu ambavyo ni kinyume na maadili ya utumishi wa umma ili kutoharibu taswira nzuri ya serikali na maadili yao kama watumishi wa umma.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa