• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WAZAZI GOBA WAJITOKEZA KUANDIKISHA WANAFUNZI TEGETA A

Posted on: October 23rd, 2023

Uboreshaji wa miundombinun  ya Elimu  ikiwemo ujenzi wa Shule Mpya zenye madarasa mazuri ya watoto wa Awali katika maeneo mengi, imeleta hamasa kubwa kwa wazazi na walezi  kuandikisha watoto wao kwa elimu ya Awali na msingi kutokana na mazingira mazuri ya kujifunza  na kujifunzia.

Hali hiyo imedhihirika  kwa wakazi wa Mtaa wa Tegeta A kata ya Goba Manispaa ya Ubungo kujitokeza kwa wingi kuandikisha watoto kwa ajili ya kujiunga na elimu ya wali na darasa la kwanza  katika shule mpya  ya msingi tegeta A ambapo ndani ya wiki mbili jumla ya wanafunzi 98 wa awali na 169 wa darasa la kwanza  wameandikishwa.

Afisa uandikishaji shuleni hapo amesema kuwa kwa kipindi kifupi wazazi wamekuwa na mwitikio mkubwa sana kuandikisha watoto wa madarasa ya awali na msingi watakaonza masomo januari 2024

Ameeleza kuwa kwa utaratibu, darasa la awali linapaswa kuwa na wanafunzi 25 ambapo shule hiyo yenye madarasa mawili ya awali  inapaswa kuandikisha  wanafunzi 50 tu lakini kwa muda wa wiki mbili tu jumla ya wanafunzi 98 wameandikishwa na zoezi linaendelea mpaka tarehe 30 desemba.

Wazazi wakiongea kwa nyakati tofauti wameonesha furaha yao baada ya shule hiyo kukamilika na kutegemea kuanza kutumika mwakani kwani imewapunguzia watoto kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya elimu. 

"Tunampongeza Mama yetu Samia Suluhu Hasan kwa kutoa fedha za ujenzi wa shule hii, pamoja na uzuri wake lakini kuna majendo mazuri kwa ajili ya watoto wetu wadogo kwa elimu ya awali, hatuna cha kumlipa"

Mzazi akimwandikisha mtoto katika shule ya msingi ya Tegeta A ambayo ina madarasa ya awali pia 















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa