• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

ZIARA YA NAIBU MSTAHIKI MEYA WA ZANZIBAR

Posted on: May 31st, 2021

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo Jaffary Juma Nyaigesha ametembelewa na Naibu  Mstahiki Meya wa Mjini Zanzibar Khadija Miraji lengo likiwa ni kujifunza  namna Bora ya usimamizi wa miradi, ukusanyaji  wa Mapato na udhibiti wa matumizi  na  hali inayowafanya kupata hati Safi katika ukaguzi wa hesabu za Serikali.

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo amepokea wageni hao leo Mei  31, 2021  ambapo watajifunza mambo mbalimbali ikiwemo ukusanyaji wa Mapato na  matumizi  ya Fedha kwa ajili ya maendeleo kwa wananchi wake na kutembelea mradi wa ujenzi wa hospitali ya Wilaya na Kituo cha mabasi ya Magufuli

Akiongea wakati wa kuwakaribisha wageni hao Nyaigesha alisema kuwa, ni heshima kubwa kwa Manispaa hiyo kutembelewa na ugeni huo imesaidia katika kuboresha mahusiano na  mwanzo mzuri wa kuhakikisha wanajenga mahusiano yaliyo bora

Aidha kiongea wakati wa kikao  hicho Mkurugenzi wa manispaa ya ubungo Beatrice Dominic   alifafanua namna ambavyo halmashauri inafanya matumizi kutokana na mapato inayokusanywa

Beatrice  alieleza  kuwa   asilimia 60%  ya mapato   yanayokusanywa ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na 40℅ kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya Halmashauri

Beatrice aliendelea kusema kuwa  Halmashauri hukusanya  mapato yake kutoka katika vyanzo mbalimbali ikiwemo ulipishaji wa ada za leseni za biashara, ushuru wa huduma, leseni za vileo, na tozo mbalimbali za Halmashauri ambapo mpaka sasa Manispaa imekusanya Billioni 16.413  Sawa na 91% ya makusanyo na  hadi kufikia June 30 asilimia iliyobaki itakuwa imekusanywa ili kukamilisha asilimia 100  ya mapato yake.

Pia Manispaa ya ubungo  kwa kipindi cha miaka minne mfululizo imefanikiwa kupata hati Safi katika kaguzi za hesabu za serikali na Manispaa itaedelea kusimamia kanuni, sheria na miongozo ya makusanyo na  matumizi ya Fedha za Umma ili  kuendelea kupata hati Safi

Nae Khadija Miraji aliipongeza manispaa ya ubungo kwa utekelezaji wa miradi na utendaji wake katika swala zima la ukusanya wa mapato na matumizi

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa