• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mipango miji na Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Utumishi na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Maji na Usafishaji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
        • Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Vipeperushi
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

LEAT WASHIRIKIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAZINGIRA KATIKA MAENEO KOROFI

Posted on: January 26th, 2021

Shirika lisilo la kiserikali linalofanya shughuli za ulinzi na uhifadhi wa mazingira na rasilimali za maliasili la  Lawyers Environment action team (LEAT) limetembelea Kata ya Kimara mtaa wa mavurunza uliopo Wilaya ya Ubungo  kujionea  mazingira  korofi

Aidha wakati wakitembelea katika mtaa wa mavurunza wananchi  walielezea changamoto wanazozipata kutokana na mto huo kupita katika nyumba za watu na hata nyumba nyingine kusombwa na maji na kupelekea hali hatarishi kwa wakazi waliobaki na watoto wa shule kwenda mashuleni wakati wa mvua.

Akizungumza na wataalam kutoka LEAT diwani wa kata hiyo Mhe.Nuru Mbezi aliomba shirika hilo kwa kushirikiana na serikali kusaidia  namna bora ya kutatua changamoto hiyo kwa wakazi wa mavurunza  ili kuleta ahueni ya eneo hilo korofi kwa jamii kwaajili ya kuleta ustawi wa afya ya mazingira.

Aliendelea kwa kusema kuwa wanakijiji wa eneo hilo wanachukua hatua mbalimbali katika kudhibiti maji kusogea katika maeneo yao lakini jitihada zimekuwa zikifeli hata kupelekea mto huo kuendelea kusogea.

Sambamba na hayo Afisa mazingira Manispaa ya Ubungo Ndg.Ezra Guya aliomba wananchi kuzingatia pia sheria za mazingira hasa katika ujenzi wa maeneo yaliyohatarishi karibu na mito kwa kuhakikisha wanajenga nyumba zao umbali wa mita 60 kutoka katika mito hiyo

Pia Wananchi waeneo hilo waliomba serikali kuliangalia jambo hilo kwa kina zaidi na kuweza kuwasaidia kupata msaada wa kujengewa daraja iliwaweze kufanya shughuli zao hata kipindi cha mvua.

Taarifa

  • HUDUMA YA KUKODI GARI LA MAJI TAKA June 12, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA August 12, 2019
  • Tangazo la ukataji au kuhuisha leseni na Tozo mbalimbali. December 08, 2017
  • Uchangiaji Damu Hospitali ya Sinza June 14, 2018
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KITUO KIPYA CHA MABASI MBEZI LUIS KUANZA KUTOA HUDUMA TAREHE 25 FEBRUARI, 2021

    February 21, 2021
  • WALIMU WATAKIWA KUFUNDISHA KWA UFANISI KUZALISHA WASOMI BORA

    February 16, 2021
  • BARAZA LA BIASHARA WILAYA YA UBUNGO LAZINDULIWA RASMI

    February 15, 2021
  • ENG NYAMHANGA APONGEZA UJENZI WA MADARASA 9 KING'ONGO, AAHIDI FEDHA ZA UJENZI WA MADARASA MENGINE 6-8

    February 12, 2021
  • Tazama zote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kibamba Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa