• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mipango miji na Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Utumishi na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Maji na Usafishaji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
        • Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Vipeperushi
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UJUWA

  

MADHUMUNI YA MTANDAO: 

. Mtandao huu utawaunganisha wafugaji wote wa n’gombe na mbuzi wa maziwa wa katka

  Manispaa yote ya Ubungo, wakiwemo wafugaji wadogo, wa kati na wakubwa.

. Utatumika kama baraza la kubadilishana taarifa baina ya wadau wa tasinia ya maziwa

  kwa mambo mbali mbali yakiwemo bei za maziwa, bei za mifugo, milipuko ya

  magonjwa ya mifugo, wizi wa mifugo nk.

. Kutambua matatizo ya tasinia ya maziwa na kupeleka mapendekezo serikalini ili kupata

  ufumbuzi wa pamoja.

. Kutoa elimu na hamasa ya ufugaji mjini kwa kufuata sheria za ufugaji bora bila ya

  kuharibu mazingira na kuleta kero kwa jamii.

. Kutoa elimu ya jinsi ya kuongeza mnyororo wa thamani katika zao la maziwa.

. Kushirikisha wadau wengine wakiwemo wafugaji, mafiasa ugani, watafiti, watunga sera

  na mashirika yasiyo ya kiserikali mfano, World vision, Heifer Project Tanzania, Farm

  Africa nk.

. Kushirikiana katika matumizi bora ya rasilimali(watu, fedha, vifaa, miundo mbinu na

  kubadilishana wanyama) ili kuepuka mifugo kuzaliana ndugu wa karibu (In breeding)

. Kuanzisha vituo vya uhamilishaji kwa njia ya mirija (AI) na vituo vya kukusanyia

  maziwa(Milk collection centers) kwa kuyatumia mashirika yasiyokuwa ya kiserikali na

  wadau wengine waliotayari kuwekeza katika tasinia ya maziwa.

. Kushirikiana na mitandao mingine inayojishughulisha na tasinia ya mifugo ndani na nje

  ya nchi.

. Kuhamasisha uanzishaji wa Saccos, Vicoba, na maduka ya pembejeo za mifugo katika

  jamii zetu ili kurahisisha upatikanaji wa huduma.

. MATARAJIO YA BAADAE:

. Wadau wote watanufaika na huduma bora mbali mbali za utaalam wa kisasa katika

  tasinia ya maziwa vikiwemo kuhudhuria maonesho ya nane nane, ziara za mafunzo,

  kupata elimu ya ujenzi wa mabanda bora na utunzaji sahihi wa kumbukumbu za miradi

  yao.

. Kuongeza ubora wa mziwa kwa kuyachakata na kuzalisha mazao mengine yatokanayo na

maziwa mf. Jibini, maziwa lala, samli nk.


Taarifa

  • Tangazo la Uzinduzi wa Mikopo ya Wanawake na Vijana April 27, 2018
  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili wa Marudio nafasi ya kazi za muda kwa vibarua wakusanya ushuru katika masoko ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo November 18, 2018
  • Tangazo la kuitwa kwenye usahili wa Mahojiano. December 06, 2018
  • Tangazo la ukataji au kuhuisha leseni na Tozo mbalimbali. December 08, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ziara ya kamati ya siasa Wilaya ya Ubungo

    February 14, 2019
  • Ziara ya kamati ya mipango miji Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

    February 06, 2019
  • Miaka mitatu ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dkt John Pombe Magufuli

    January 02, 2019
  • Uzinduzi wa barabara njia nane (8)Stopover Kimara

    December 19, 2018
  • Tazama zote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Kibamba Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa