Karibu kwenye Tovuti ya Manispaa ya ubungo , katika tovuti hii utapata fursa ya kujua shughuli mbalimbali zinazotekelezwa kwa lengola kuwahudumia wanachi na wadau mbalimbali wa maendeleo.Manispaa ya ubungo ndio lango la jiji la Dar Es Salaam hivyo kuna fursa nyingi za uwekezaji katika sekta mbalimbali hasa za kibiashara ikiwemo kujenga masoko makubwa na madogo viwanda mbalimbali na mengine mengi, Tunakaribisha wawekezaji wote kwa ajili ya kuijenga ubungo Mpya.
(LIPA KODI TUJENGE UBUNGO MPYA)
Kibamba Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa