• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WATENDAJI TOENI ELIMU KWA WAZAZI KUHUSU SUALA LA LISHE KWA WATOTO" DC MSANDO

Posted on: December 19th, 2025


Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Albert Msando amewataka watendaji wa kata na mitaa kuendelea kutoa elimu  kwa wazazi kuhusu umuhimu wa lishe bora kwa watoto na kuhakikisha wanawawezesha kupata chakula cha mchana shuleni ili kuchochea ufaulu wao.
Amesema hayo  Disemba 19, 2025 katika kikao cha tathimini ya lishe ya Wilaya ambapo amewasisitiza umuhimu wa uwajibikaji na ufuatiliaji wa mara kwa mara hasa mashuleni kwa lengo la kujua takwimu na hatua zinazochukuliwa kukabiliana na upungufu wa lishe bora kwa watoto.
Mhe. Msando ameeleza  kwamba Kufanya kazi kwa bidii ni jukumu la msingi, ufutiliaji wa mara kwa mara wa watoto katika mitaa na kata ambao wanapata changamoto za lishe hasa kwa kuonana na wazazi na kuwasitiza kuhakikisha wanafata lishe iliyobora kuepukana na utapia mlo na maradhi yatoka nayo na lishe hafifu.


Nae, afisa lishe Manispaa ya Ubungo Bi. Herieth Mbukuzi Amesoma taarifa ya lishe kwa robo ya kwanza ya julai-septemba na kusema kuwa Ubungo imepata mafanikio makubwa kwa kipindi Cha kutoka julai hadi spetemba ambapo  kwa sasa hali ya udumavu imeendeleza kupungua kutoka 1.2% kipindi Cha April 2025 hadi juni 2025 na sasa julai hadi septemba imekuwa 0.2, na hii imetokana na mikakati mbalimbali katika kutekelezwa afua za lishe ikiwemo kuwahimiza kina mama kula mlo kami na kuendelea kuwanyonyesha watoto watoto wao hadi miaka 2


Hivyo, naendelea kuwasisitiza kila mmoja katika kata na mitaa yake kuhakikisha atoa elimu juu ya umuhimu wa kuzingatia lishe bora kwa watoto ili kuondokana na udumavu na utapia mlo kwa watoto. Amesisitiza Herieth
Akizungumza katika kikao hicho Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya ubungo Lawrence Cheche amewataka watendaji wanapokuwa katika vituo vyao vya kazi wafanye kazi kwa weledi na kuzingatia majukumu yao, ameendelea kuwaeleza kuwa suala la lishe ni mtambuka hivyo ni vyema elimu iendelee kutolewa kwa jamii.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI TOENI ELIMU KWA WAZAZI KUHUSU SUALA LA LISHE KWA WATOTO" DC MSANDO

    December 19, 2025
  • WATENDAJI TOENI ELIMU KWA WAZAZI KUHUSU SUALA LA LISHE KWA WATOTO" DC MSANDO

    December 19, 2025
  • UBUNGO YAENDESHA MAFUNZO YA MFUMO WA USIMAMIZI WA MIRADI

    December 08, 2025
  • WAZIRI MKUU ALAANI VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI VILIVYOTOKEA OKTOBA 29, AWASIHI WANANCHI KUILINDA TANZANIA KWA WIVU MKUBWA

    November 24, 2025
  • Tazama zote

Video

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | WANAFUNZI WAASWA KUJITUNZA
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa