Idara ya Ujenzi katika Halmashauri ya Ubungo imegawanyika katika Makundi mawili
1.Sehemu ya Barabara
2.Sehemu ya Majengo na Miliki
Sehemu ya Barabara
Sehemu ya Barabara chini ya mwandisi wa Barabara na Mhandisi wa mitambo, husimamia na kusanifu miradi na ujenzi,uratibu na ukarabati wa barabara kwa sasa hufanywa na TARURA kwa Barabara zote zinazounganisha mji ,Kata, na Mitaa
Sehemu ya Majengo na Milki
Sehemu ya Majengo na Miliki chini ya usimamizi wa Mhandisi wa Majengo hushugulikia usanifu ujenzi kazi za umeme na matengenezo nyumba Kumbi na ofisi zote za Halmshauri ya Manispaa.
Kila sehemu imepangiwa majukumu yake ya kiutekelezaji yanayokamilisha majukumu ya idara ya Ujenzi ambayo ni pamoja na kumshauri Mkurugenzi wa Manispaa juu ya masuala yote ya ujenzi na Mitambo
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa