Wednesday 20th, February 2019
@Viwanja vya TP Sinza
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imefanya uzinduzi wa vitambulisho vya msamaha wa matibabu kwa wazee kuanzia miaka 60 na kuendele uzinduzi uliofanyika katika viwanja vya TP Sinza mgaeni rasmi akiwa Waziri wa Afya Jinsia Wazee na Watoto Mhe UMMY MWALIMU.
Kibamba Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa