• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DCC UBUNGO YAPITISHA MAKISIO YA BAJETI YA BIL 109.4 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

Posted on: February 13th, 2023

Kamati ya ushauri ya Wilaya(DCC) imepitisha Makisio bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya shilingi  Billioni 109,449,392,100  kwaajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo, fedha za ruzuku ya mishahara na matumizi mengineyo

Baraza hilo ambalo limehudhuriwa viongozi vyama vya siasa mbalimbali vikiongozwa na Chama Cha Mapinduzi CCM, limefanyika leo tarehe 13/2/2023 ambapo Mkuu wa Wilaya Mhe.Hashimu Komba Alisisitiza katika bajeti hiyo  vipaumbele ambavyo vinatakiwa kuangaliwa na kuzingatiwa ni kuongeza ukusanyaji wa mapato, kuboresha miundombinu ya barabara, elimu na afya pamoja na kuboresha mkakati wa utoaji taarifa za Maendeleo

Aidha, Komba alipongeza kwa mwaka wa fedha 2021/2022 halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imeweza kukusanya vizuri mapato mpaka kufikia 103%

wajumbe wa baraza la kamati ya ushauri ya wilaya   wakichangia mawazo mbalimbali yenye lengo la kuboresha na kuweka maslahi mazuri kwa wana ubungo

Komba aliendelea kwa kusema kuwa mpaka sasa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kwa mwaka wa fedha 2022 - 2023 imefikia asilimia 51 ya makusanyo kwa robo mbili ambapo imevuka kiwango cha asilimia 50 kufikia mwezi Disemba 31, 2022

Aidha wajumbe walipendekeza swala la ukusanyaji wa mapato liweze kusimamiwa vizuri  na kusisimamia vyanzo vya makusanyo sambamba na mikopo ya asilimia 10 ambayo hutolewa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ambayo haijarejeshwa walengwa waweze kusimamiwa na kufuatiliwa waweze kurejesha

Nae Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ndugu Amos Maziku  wakati akichangia amesema, rasilimali kubwa ya Manispaa ya Ubungo ni watu wake hivyo ameshauri kuandaliwa kwa mipango madhubuti ya kuendelea kujenga uwezo kwa wananchi ili kuongeza tija ya uzalishaji mali kwenye shughuli zao za kila siku

Katika Majumuisho ya kikao hicho Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba ameyapokea mapendekezo yote kwa ahadi ya kuyatekeleza kwa maslahi mapana ya wananchi wa Ubungo


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa