• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAAFISA MAENDELEO JAMII UBUNGO WAJENGEWA UWEZO KUHUSU UTOAJI NA USIMAMIZI WA MIKOPO YA 10%

Posted on: October 1st, 2024

Maafisa maendeleo ya jamii Manispaa ya ubungo leo tarehe 1/10/2024  wamejengewa uwezo kuhusu utoaji na usimamizi wa mikopo ya 10% kwa mujibu wa mwongozo mpya wa mwaka 2024. Lengo la kuwapa elimu maafisa hao ni kuwawezesha namna watakavyoweza kusaidia kuhamasisha vikundi vya  vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kujitokeza kujisajili ili waweze kupata mikopo ya asilimia 10 itakayoanza kutolewa na Halmashauri ambapo asilimia 4 kwa vijana, asilimia 4 wanawake na asilimia 2 watu wenye ulemavu

Akitoa mafunzo hayo  mratibu wa dawati la uwezeshaji wananchi kiuchumi Manispaa ya ubungo Bi. Fatuma Bangu amesema kuwa  mafunzo hayo ni ya  siku tano yeye lengo la kuwajengea uwezo maafisa Maendeleo kutoka ngazi ya Kata na Wilaya yatakayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Manispaa hiyo ikiwa ni maandalizi ya kufungua dirisha la mikopo baada ya kusimamishwa Mwezi April, 2023.

Bi. Fatuma aliendelea kusisitiza kuwa ni jukumu la  maafisa Maendeleo ya  Jamii kuhakikisha wanahamasisha uundaji wa vikundi, wanasimamia usajili na kuwajengea uwezo wanavikundi ili waweze kutumia mikopo watakayopewa kwa malengo yaliyokusudiwa na kufanya marejesho kwa wakati.

Nae Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Ubungo Rose Mpeleta aliwasisitiza maafisa hao kuhakikisha wanafanya majukumu yao kwa weledi wanapoanza kazi hiyo ambayo serikali inategemea kupata matokeo chanya

Kwa sasa inatakiwa kila mmoja ajue na atambue anachokifanya kila mtu anawajibu wakuhamasisha na kuhakikisha kikundi kinachopata mkopo amekichunguza na kujiridhisha. Alisisitiza Mpeleta

Ikumbukwe kuwa, maelekezo ya Serikali ya awamu wa sita chini ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhusu utoaji na usimamizi wa mikopo hiyo inayotokana na 10% ya Mapato ya ndani ya Halmashauri tayari yamekwishatolewa na OR-TAMISEMI na leo Oktoba 1, 2024 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kupitia idara ya Maendeleo ya jamii inaendelea na mafunzo ya siku tano kwa wataalam juu ya utekelezaji wa muongozo mpya wa utoaji wa mikopo hiyo.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa