• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MIRADI YA BILIONI 2.8 YAMULIKWA NA MWENGE WA UHURU 2022 UBUNGO

Posted on: May 11th, 2022

Mwenge wa Uhuru mwaka 2022 umefanya ukaguzi wa miradi mitano ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Ubungo leo tarehe 11 mei 2022. Mbio hizo zinazoongozwa na mkimbiza Mwenge kitaifa ndugu Sahili Nyazabara Geraruma pamoja na timu yake ya kitaifa wamefanya ukaguzi wa miradi hiyo sambamba na kuweka mawe ya msingi.


Ndugu Geraruma ameweka mawe ya msingi katika mradi wa kituo cha afya cha Goba, kituo cha kulea wasichana wahanga wa biashara haramu cha DMI spring of hope, barabara ya kifuru pamoja na ujenzi wa madarasa matatu katika shule ya sekondari ya mashujaa sinza.

Sambamba na uwekaji wa mawe hayo ya msingi, mkimbiza mwenge kitaifa ndugu Sahili Nyanzabara Geraruma amewasisitiza viongozi na watendaji wa Manispaa ya Ubungo kufata maelekezo yanayoyotolewa na wizara kwenye ujenzi wa miradi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati. Pamoja na hayo ndugu mkimbiza mwenge kitaifa amefurahishwa na miradi hiyo ambayo ina matokeo chanya sana kwa wananchi wa manispaa hiyo.

Mwenge wa Uhuru 2022 pia umebeba ajenda ya zoezi la Sensa litakalofanyika tarehe 23 Agosti 2022 na wananchi wa Wilaya ya Ubungo wamesisitizwa kujitokeza na kutoa ushirikiano wa dhati kwenye zoezi hilo.


Mwenge wa Uhuru unakesha katika viwanja vya barafu Mburahati hadi kesho tarehe 12 mei 2022 tayari kukabidhiwa kwa Wilaya ya Ilala.

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James akipokea mwenge wa uhuru kutoka wilaya ya Kinondoni. mapokezi yamefanyika eneo la Kunguru kwa Muro kata ya Goba tarehe 11.05.2022 tayari kwa kukimbizwa katika wilaya hiyo.

UBUNGO YETU FAHARI YETU

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa