• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAKABIDHIWA MICHE 200 YA MIANZI KUTOKA KAMPUNI YA MAGODA BAMBOO

Posted on: November 13th, 2025

Katika jitihada za kuhifadhi mazingira na kuongeza wigo wa upandaji miti rafiki wa mazingira, Kampuni ya Magoda Bamboo Ltd imekabidhi miche ya mianzi 200 kwa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ambayo itaenda kupandwa katika maeneo yote ambayo sio rafiki kwaajili ya kuzuia madhara yatakayotokana na mvua zinazoendelea kunyesha

Tukio hilo limefanyika tarehe 13 Novemba, 2025 katika viunga vya Manispaa hiyo na tukio hilo limehudhuriwa na  Afisa Mahusiano na Masoko wa kampuni ya Magoda Company  Ndg. Robert Muhando na Mkuu  wa idara ya Utawala na usimamizi wa rasilimali watu Ndg. Adolf Semindu pamoja na watumishi wa Idara ya Mazingira.

Akizungumza wakati wa makabidhiano  Ndg. Robert Muhando amesema kuwa zoezi hili ni sehemu ya mpango wa kampuni hiyo kusaidia juhudi za serikali katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi kupitia kampeni za upandaji miche endelevu. “Mianzi ni aina ya mmea unaokua kwa haraka, unaoweza kutumika kwa matumizi mbalimbali na pia una mchango mkubwa katika kuhifadhi udongo na kupunguza hewa ukaa,” amesema.

Kwa upande wa Manispaa Mkuu wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu alitoa shukrani kwa Magoda Bamboo Company kwa mchango wao, akisisitiza kuwa miti hiyo itapandwa katika pembe za mto kibwegere uliopo mpigi  ndani ya Manispaa ya Ubungo. “Tunathamini ushirikiano huu ambao unachochea maendeleo endelevu na kulinda mazingira yetu kwa manufaa ya vizazi vijavyo,” aliongeza.

Miche hii ya mianzi inatarajiwa kupandwa katika muendelezo wa mradi huu,  ikiwa ni moja ya ushirikiano wa muda mrefu kati ya sekta binafsi na serikali katika kulinda mazingira.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • BENKI YA DUNIA YAKAGUA MIRADI YA DMDP UBUNGO

    November 18, 2025
  • MABINTI WAASWA KUJIWEKEA MALENGO NA KUJITUMA ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO

    November 15, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

    November 14, 2025
  • UBUNGO YAKABIDHIWA MICHE 200 YA MIANZI KUTOKA KAMPUNI YA MAGODA BAMBOO

    November 13, 2025
  • Tazama zote

Video

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | WANAFUNZI WAASWA KUJITUNZA
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa