• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WANAFUNZI WAASWA KUZINGATIA MASOMO NA MAADILI MEMA

Posted on: October 19th, 2023

Kamati ya kudhibiti Ukimwi Manispaa ya Ubungo imetembelea shule ya Sekondari Luguruni na Sekondari ya Kwembe na kuwasisitiza wanafunzi hao kuzingatia masomo na kuachana na tabia mbovu zitakazo sababisha kukosa haki zao za msingi ikiwemo elimu bora

Katika ziara hiyo iliyofanyika  tarehe 19 oktoba, 2023 Wajumbe waliwataka wanafunzi hao wazingatie maadili wanapokuwa shuleni kwa kufata kanuni, sheria na taratibu za shule na  kuwasikiliza walimu wao

Akizungumza na wanafunzi hao Mwenyekiti wa kamati hiyoMhe. Ismail Malata ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mbezi aliwasisitiza wanafunzi hao kuepukana na  watu wanaowalaghai kwa kuwapa vitu vidogo vidogo watawapa magonjwa ukimuona mtu wa hivyo mkimbie

Aliendelea kwa kuwapongeza kwa igizo zuri la unyanyapaaji na alisema  kuwa  nina imani wote mmejifunza umuhimu wa kuacha kumnyanyapaa mtu aliye na maambukizi ya Ukimwi.

"Someni mtapata kila mnachotaka" alisisitiza Malata

Aidha, Mjumbe wa kamati hiyo Mhe.Ismail Mvungi Diwani Kata ya Kimara aliwasisitiza wanafunzi hao kuhakikisha wanasoma kwa bidiii na wazingatie majukumu yao wanapokuwa shuleni na kuwasisitiza kuachana na mambo yasiyo ya muhimu


Nae,Mjumbe wa kamati hiyo ndg. Makdonadi Haule aliwasisitiza wanafunzi kujiunga katika club ya afya ambayo imeanzishwa shuleni hapo sambamba na kuachana na tabia ya kufata makundi ambayo sio sahihi

"Usiogope kumwambia mwalimu unapoona mwenzio anafanya vitendo viovu" alisisitiza Haule

Mwanafunzi Getrude Mirambwe alisoma taarifa ya Club ya afya ya  shule hiyo ambayo ina jumla ya wanafunzi 210 wasichana 114 wavulana 96 na kuwashukuru wajumbe kwa ujio wao na elimu waliyoitoa

Diwani wa kata ya Mbezi ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati kudhibi ukimwi Manispaa ya Ubungo Ismail Malata akiongea na wanafunzi wa shule ya sekondari Luguruni na Kwembe wakati kamati hiyo ilipotembelea shule hizo
















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa