• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

YUSUPH YENGA, NAIBU MEYA MPYA MANISPAA YA UBUNGO

Posted on: August 15th, 2022

MHESHIMIWA YUSUPH OMARI YENGA AIBUKA KINARA, PONGEZI NYINGI KWAKE

Manispaa ya Ubungo imepokea kwa bashasha matokeo ya uchaguzi wa Naibu Meya Manispaa ya Ubungo Mhe. YUSUPH OMARI YENGA kutoka Kata ya Mburahati ambaye ameshinda kwa kura 19 sawa na asilimia 95%  nakupata nafasi ya kuwa Naibu Meya katika Manispaa hiyo akichukua nafasi ya aliyekuwa Naibu Meya Hassan Mwasha kutoka Kata ya Msigani

Uchaguzi huo umefanyika Leo agosti 15, 2022 ambapo Kila baada ya mwaka mmoja hufanyika uchaguzi kwaajili ya kumchagua Naibu Meya kwa mujibu wa Sheria.

Akitoa shukrani zake Mhe.  YENGA ameshukuru wajumbe wa baraza hilo kwa kumpa kura za ndio

"Ntaenda kufanya kazi Kama mlivyonniamini , mnipe ushirikiano wenu" aliongeza Yenga

Nae aliyekuwa Naibu Meya Mhe. Hassan Mwasha ametoa shukrani zake za pekee katika baraza hilo kwa   madiwani wote kwa ushirikiano mkubwa walio muonyesha kipindi alipokuwa Naibu na pia amempongeza Naibu Meya mpya kwa kupata nafasi hiyo

Aidha, katika baraza hilo wenyeviti na wajumbe wa  kamati mbalimbali  walichaguliwa

Aidha, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Kheri James amempongeza kwa ushindi Naibu Meya YUSUPH OMARI YENGA  na wajumbe wa kamati zote na  kuwaahidi  Serikali kuwapa ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu

Nae Mkurugenzi wa Manispaa hiyo ndugu, Beatrice Dominic amewapongeza wajumbe wa kamati zote na Naibu Meya kwa kuchaguliwa na kuahidi kuendelea kushirikiana bega kwa  bega katika kutekeleza majukumu ya halmashauri

Halikadhalika, Zoezi la ugawaji wa vyeti vya shukrani kwa waliokuwa viongozi wa kamati zilizopita lilifanyika.

Pamoja na hayo baraza liliwapongeza mtendaji kata ya Ubungo, Mwenyekiti sinza C, mtendaji kata ya manzese, Mwenyekiti Mtaa wa kibangu na Mwenyekiti wa Msumi


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa